Nadhani tunapaswa kufanya kuanza modules ya msingi.
Sijawahi Tafsiri code yoyote PHP kwa Kiswahili kabla ya. Je, mtu yeyote kujua wapi kuanza?
Naamini tunahitaji nini ni kuunda faili Drupal-6.20.tz.po - kudai kuwa sisi kuanza na Drupal 6.20
Mimi wameanza ya mbele faili msingi 6.20 kama Wiki ya msingi juu ya faili ya Kifaransa.
Groups audience:

Comments
Kueneza utumizi was lugha ya kiswahili
Maoni yangu ni kwamba itatufaidi kama tungeweza kutafsiri matangazo yaliyopo kwenye kurasa mbali-mbali ili kuruhisisha wenzetu kujua kwamba wanaweza kupakua na kutumia (katika siku zijazo) Drupal katika lugha ya kiswahili. Hivi sasa matangazo mengi bado yako katika Kiingereza.
Mwenyekiti akiuruhusisha, tunaweza kuanza na utafsiri was matangazo kama "Reply to comment", "Your name", name mengineo.
iDonny angalia ukurasa huu
iDonny angalia ukurasa huu http://localize.drupal.org/node/3099 hapa ndipo tunatakiwa kubadilisha file hili. Likishamalizika kutafsiriwa lote kwa kiswahili fasaha, ndipo watu wataweza kupakua Drupal ya kiswahili halafu modules zingine za muhimu zitauatia
Jamani hivi hii swahili team
Jamani hivi hii swahili team ndio imelala au vipi? nimejaribu kuweka tafsiri ya baadhi ya maneno ya kiswahili lakini mpaka sasa sijaona review yoyote.
inavunja moyo kwa kweli. Halafu manager hata profile page yake nashindwa kuifikia. Napata ujumbe "access denied"
Tafadhali tusaidiane ili angala hiki kiswahili tuanze kukitumia kwenye drupal 7.
Mwenye Kiti Amka Kumekucha!
Nadhani mwenyekiti alisahau kazi yake. Kuna jia yoyote twaweza kubadilisha au kuchagua mwenye mwingine?
Nadhani huu ukurasa hapa ndio
Nadhani huu ukurasa hapa ndio sahihi http://localize.drupal.org/translate/languages/sw/translate na sio http://localize.drupal.org/node/3099
Kutafsiri ni jukumu letu na sio la mwenyekiti. Awepo au asiwepo tunaweza tukatafsiri tu kama akitokea basi tunaendelea kuchapa kazi. Au vipi?
--
www.eventstz.com